TAZAMA MATOKEO YA UCHAGUZI KWA WAGOMBEA WOTE NANE KAMA YALIYOTANGAZWA
Matokeo kamili ya wagombea wote kama yalivyotangazwa na Bw Chebukati
| Mgombea | Chama | Kura | Asilimia |
| Uhuru Kenyatta | Jubilee | 7,483,895 | 98.28 |
| Raila Odinga (Alisusia) | ODM | 73,228 | 0.96 |
| Mohamed Abduba Dida | ARK | 14,107 | 0.19 |
| Japheth Kavinga Kaluyu | Mgombea wa kujitegemea | 8,261 | 0.11 |
| Michael Wainaina Mwaura | Mgombea wa kujitegemea | 6,007 | 0.08 |
| Joseph Nthiga Nyagah | Mgombea wa kujitegemea | 5,554 | 0.07 |
| John Ekuru Aukot | Thirdway Alliance | 21,333 | 0.28 |
| Cyrus Jirongo | UDP | 3,832 | 0.05 |