Pata habari Mbalimbali za Kitaifa na kimataifa, Breaking news,Elimu,Uchumi,Michezo,Siasa,Jamii, nk.. Jiunge nami kupitia Instagram,Facebook,Twitter,Youtube kwa jina moja la "Igp Mavala"

HAPPY BIRTHDAY...!! HUYU STAA KAZALIWA LEO...

.. By Igp Mavala: Kama Umezaliwa Leo Unashare Bday Yako na Na nyota Nguli wa Bao la mkono Maradona Diego Aliyezaliwa Tar 30 Mwezi Huu mwaka 1960 Kama Ulikua Hujui Maradona ana dini yake inayoitwa 'Iglesia Maradoniana' iliyoanzishwa na mashabiki wake ili kumuenzi, na ina wafuasi zaidi ya laki moja. Happy Birthday Source #www.chrisagstine.com
Powered by Blogger.