Pata habari Mbalimbali za Kitaifa na kimataifa, Breaking news,Elimu,Uchumi,Michezo,Siasa,Jamii, nk.. Jiunge nami kupitia Instagram,Facebook,Twitter,Youtube kwa jina moja la "Igp Mavala"

KILA LA HERI WANAFUNZI KIDATO CHA NNE 2017/2018

Watahiniwa kidato cha nne wanaanza mitihani yao leo October 30 hadi November 17. Watahiniwa 385,938 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kidato cha nne. Kati ya watahiniwa hao, 323,513 ni wa shule na 62,425 ni wa kujitegemea. NB: Mliyojifunza yanatosha fanyeni mitihani kwa kufuata utaratibu uliowekwa, pia kumbukeni zama zimebadilika sana kuhusu elimu yetu Tanzania na ushindani ni mkubwa sana kwa sasa, Mwenyezi Mungu awatangulie na awaongoze katika mitihani yenu..... Amin Je wewe na mimi ambao tumeshahitim tufaidisha vipi jamii na familia zetu au serikali inakosea wapi kuhusu mrundikano wa wahitimu wasio na tija katika Jamii? Toa maoni yako tujadili kwa pamoja. @IgpMavala
Powered by Blogger.