Pata habari Mbalimbali za Kitaifa na kimataifa, Breaking news,Elimu,Uchumi,Michezo,Siasa,Jamii, nk.. Jiunge nami kupitia Instagram,Facebook,Twitter,Youtube kwa jina moja la "Igp Mavala"

BAADA TU YA NYALANDU KUACHIA JIMBO SPIKA AMWANDIKIA BARUA MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI "NEC"


  Baada ya Lazaro Nyalandu kuachia Jimbo la Singida kaskazini, Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai amemwandikia barua Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage kuwa Jimbo hilo liko wazi kwa taratibu nyingine za tume ya uchaguzi ziendelee:


Powered by Blogger.