Pata habari Mbalimbali za Kitaifa na kimataifa, Breaking news,Elimu,Uchumi,Michezo,Siasa,Jamii, nk.. Jiunge nami kupitia Instagram,Facebook,Twitter,Youtube kwa jina moja la "Igp Mavala"

REKODI MPYA YA MANCHESTER UNITED CHINI YA JOSE MOURINHO

Manchester United imeweka rekodi ya kufikisha jumla ya michezo yote 38 bila kuruhusu nyavu zao kutikiswa msimu huu, wakiwa chini ya kocha Jose Mourinho katika uwanja wa Old Trafford.

CcChrisagstine/Shaffihdaud
Igp Mavala
Powered by Blogger.