Pata habari Mbalimbali za Kitaifa na kimataifa, Breaking news,Elimu,Uchumi,Michezo,Siasa,Jamii, nk.. Jiunge nami kupitia Instagram,Facebook,Twitter,Youtube kwa jina moja la "Igp Mavala"

MANENO YA NAPE NAUYE KUHUSU KUJIUZULU NYALANDU:

Ishu ya Lazaro Nyalandu kuachia ngazi zote katika chama cha Mapinduzi CCM ikiwa pamoja na ubunge katika jimbo Lake la Singida kaskazini toka mwaka 2000,imeleta gumzo sana Kwa wanainch na wanasiasa na hata viongozi mbalimbali Tanzania na hata nje ya mipaka ya Tanzania.
 Igp Mavala imenasa twitter ya mwanasiasa maarufu Tanzania Mh. Nape  Nauye  ambaye pia alishawahi shika nafasi kadhaa katika Chama Cha Mapinduzi CCM ikiwemo kuwa katibu mwenezi wa CCM na pia Waziri wa Michezo Tanzania... Anasema

"Chama cha siasa ni ITIKADI, itikadi ni IMANI. Siamini sana katika kubadili imani KIENYEJI,Nitashughulikia MAPUNGUFU nikiwa ndani sio NJE!"

Powered by Blogger.